Jumla ya wakenya milioni 28 wako katika hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa Malaria nchini Kenya.
Homa ya manjano imekuwa ni tatizo kubwa kwa wananchi wa drc, hasa maeneo ya mashariki.
Wizara ya Afya ya Sierra Leone imesema wote walioachiliwa kutoka kwa karantini wametajwa na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO ni wale ambao hawana ugonjwa huo tena.
Mamlaka za Afya nchini humo zinasema ugonjwa huo umeathiri wakaazi wengi katika wilaya tatu zinazozingira ziwa Malawi.
Rais wa Sioerra leone atoa wito kwa wananchi wake kutowaficha wagonjwa wa Ebola.
Mawaziri wa mambo ya nje wa ulaya wanajadili kwa kina kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaoweza kuuwa kwa haraka.
ugonjwa huo wa Ebola umekuwa tishio kwa nchi za Afrika siyo tu zile ambazo tayari zimeathiriwa lakini pia zile zilizo jirani na kwenye mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Uwanja wa ndege wa New York Umeanz aharakati za kupima wasafiri kutoka Afrika kwenye nchi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola.
Taarifa zinasema Marekani inajiandaa kupambana na mzozo wa ugonjwa wa ebola kote nchini mwake na katika eneo.
Rais wa Zambia ameshindwa kutoa hotuba yake katika mkutano wa baraza kuu la umoja wa mataifa unaendelea baada ya kuugua ghafla.
Wanasayansi wa chuo kikuu cha Oxford wameonyesha ramani ya maeneo ambako wanyama huenda wana maambukizo ya virusi vya ebola, ikiwa ni hatua ya kwanza kutabiri wapi ugonjwa huu utazuka hapo baadaye.
Utafiti wa Ebola kufanyika Afrika Magharibi ili kugundua walioathiriwa na virusi hivyo .