Obama alitangaza kuwa kicho ni kitendo cha kigaidi na kusema FBI wanaongoza uchunguzi.
Boti mbili ziligongana na moja ikapinduka na hivyo kusababisha vifo hivyo.
Polisi katika mji wa Olarndo nchini Marekani wametoa jina la mtu aliyeshambulia klabu cha usiku mjini Orlando, Florida, na kuua takriban watu 50 na kujeruhui zaidi ya 50 kama Omar Mateen ambaye ni raia wa Marekani.
Israel imesitisha hati 83,000 za kusafiria za wapalestina katika mwezi huu wa Ramadhan baada ya wapalestina wawili wenye bunduki kufyatua risasi kwenye eneo la maduka na migahawa karibu na Ofisi za Wizara ya Ulinzi mjini Tel Aviv usiku wa Jumatano, ambapo watu 4 wameuwawa na wengine 5 kujeruhiwa.
WHO imesema itaendelea kusaidia Liberia katika juhudi za kuzuia na kushughulikia kesi zitakazojitokeza
Shughuli ya kusoma bajeti nchini Uganda inasemekana ilikumbwa na hali ya sintofahamu kutokana na kutokuwa na waziri wa fedha.