Jumatano, Oktoba 22, 2014 Local time: 13:50
Sauti
Multimedia
 Je Nifanyeje?
 Alfajiri
 Jioni

 Kanda
 Katika Picha
 YouTube

Habari / Afrika

Raila:Uhuru usiwanyamazishe magavana

Raila Odinga kiongozi wa ODM akihutubia umati wa watu kwenye uwanja wa Uhuru Park Nairobi, July 7, 2014.

Kiongozi wa mungano wa upinzani wa Cord, Raila Odinga ameituhumu serikali inayoongozwa na mungano wa Jubilee huko Kenya kwa kujaribu kuwanyamazisha magavana wanaounga mkono juhudi za kuitisha kura ya maoni juu ya katiba.

Katika matukio ambayo yalionekana kama Kenya inarudi katika kampeni za uchaguzi, Rais Uhuru Kenyatta alitoa wito Jumapili kwa magavana wa mungano wake wanaounga mkono mabadiliko ya katiba kujiuzulu na kupigania upya madaraka chini ya mungano mwengine.

Akizungumza mjini Kericho Rais Kenyatta alisema magavana wanachukua hatua dhidi ya matakwa ya ajenda ya maendeleo ya muungano wa Jubilee, na kwamba mungano wao umeungana kupinga jaribio lolote la kuitisha kura ya maoni.

Akizungumza huko Kibera hiyo hiyo Jumapili, Bw. Odinga alisema, "hebu nimjibu, ni lini mungano wa Jubilee ulikutana na kupitisha azimio la kupinga kura ya maoni? Amepata wapi uwamuzi huo?"

Alkizungumza na Sauti ya Amerika, mwenyekiti wa magavana wa Kenya, gavana wa County ya Bomet, Isaac Ruto,  anasema hawatotishika na siasa ya vitisho ambavyo vinaweza kuleta mvutano zaidi nchini. 

Bw. Ruto, ambae ni mwanachama wa Jubilee ametuhumiwa na rais kwa kuisaliti serikali ya Jubilee.

 

mjadala huu umefungwa
Comment Sorting
Maoni
     
Na: mr Makange Kutoka: moshi mjini
09.09.2014 04:45
Report
raisi Kenyata awe makini sana na Laila Odinga kwani nchi ya kenya yaweza kurudi kwenye machafuko upya


Na: kevin ambale Kutoka: Kenya
08.09.2014 18:53
Report
hiyo ni uginga kwa mtu mwenye ana fwata sheria kama rais.

Matangazo Yetu

Alfajir (MP3)

Jioni (MP3)

Je Nifanyeje? (MP3)

Matangazo 'Live' 0300 UTC, 1630 UTC

  • 30 min

    Alfajiri

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

  • 30 min

    Jioni

    Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa...

  • 30 min

    Alfajiri

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za...

  • 1
  • 2
  • 3

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Wakenya na Uhuru Kenyatta katika ICCi
▶ || 0:00:00
... ⇱
 
🔇
X
10.10.2014 13:45
Wananchi wa Kenya watoa maoni mbali mbali kuhusu hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kutokea katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu - ICC.
Most Viewed
  1. Wanawake 40 watekwa nyara Ituri mashariki ya DRC
  2. Africa yapoteza msomi Profesa Ali Mazrui
  3. Serikali ya Nigeria na Boko Haram wakubali kusitisha mapigano, wakubali kuwaachia wasichana
  4. Uwezekano wa shambulizi la kigaidi Addis Ababa
  5. Zaidi ya watu 21 wauawa DRC