Ijumaa, Septemba 26, 2014 Local time: 04:00
Sauti
Multimedia
 Je Nifanyeje?
 Alfajiri
 Jioni

 Kanda
 Katika Picha
 YouTube

Habari / Afrika

Boti yazama na kuuwa 16 ziwa Albert.

Askari wa kikosi cha wanamaji cha Polisi ya Uganda wakijaribu kuokoa watu waliokuwa wakizama katika ziwa Albert Machi 23, 2014.

Watu 16 wamefariki dunia na wengine watano  kunusurika katika ajali ya boti katika ziwa Albert wilaya ya Ituri mpakani mwa DRC na Uganda.

 

Taarifa toka Bunia zinaeleza boti hiyo ilikuwa  imebeba wachungaji na waimbaji waliokuwa kwenye safari ya kanisa kuelekea kwenye kijiji kimoja .

 

Akizungumza na mwandishi wa VOA  mkazi wa Ituri John Kabwa amesema boti hiyo iliyokuwa na abiria 21 ilikumbana na  upepo mkali uliopelekea kuzama.

 

Mkazi huyo pia amelaumu serikali ya nchi hiyo kwa kutojali raia na hasa vyombo vya usafiri ikiwa ni vya majini au nchi kavu na kuongeza kwamba  boti nyingi zinafanya kazi zikiwa na injini mbovu  wakati serikali inatoza  fedha  tu bila kujali ubora wa vyombo hivyo vya usafiri.

 

mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one

Matangazo Yetu

Alfajiri

Jioni

Je Nifanyeje?

Matangazo 'Live'
0300 UTC, 1630 UTC

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Maudhui ya wavuvi wa Bagamoyo-VOA Mitaanii
▶ || 0:00:00
... ⇱
 
🔇
X
20.09.2014 15:14
Wafanyabiashara wa samaki katika wilaya ya Bagamoyo, Tanzania waelezea changamoto zinazowakabili katika biashara kuu ya uvuvi, miongoni mwao ukosefu wa soko na mahala ya kuhifadhi samaki wanaovua.
Most Viewed
  1. Rais Obama aapa kupambana na wanamgambo wa IS
  2.  Rais Kikwete akabidhiwa zawadi na Watanzania wa Marekani
  3. Afrika Kusini yafanya uchunguzi wa fedha kutoka Nigeria.
  4. CHADEMA yasisitiza bunge la katiba si halali
  5. Marekani kupeleka wanajeshi Afrika magharibi kupambana na Ebola