Alhamisi, Septemba 25, 2014 Local time: 19:53
Sauti
Multimedia
 Je Nifanyeje?
 Alfajiri
 Jioni

 Kanda
 Katika Picha
 YouTube

Habari / Afrika

Ufaransa yavunja serikali yake.

Rais wa Ufaransa Francois Hollande akitoa hotuba huko katika jumba la Elysee Julai 23, 2014.

Rais wa Ufaransa Francois Hollande amevunja serikali yake. Waziri Mkuu Manuel Valls amewasilisha hati za kujiuzulu kwa serikali yake ya kisoshalisti Jumatatu na Bw. Hollande amekubali na kumwamuru waziri mkuu huyo kuunda serikali mpya  ifikapo Jumanne.

Hatua hiyo ya kisiasa inafuatia  ukosoaji wa Waziri wa Uchumi Arnaud Montebourg juu ya sera za uchumi za nchi hiyo na kuhoji juu ya hatua zilizochukuliwa kwa upande wa bajeti na mshirika wao Ujerumani.

Ufaransa iko kwenye msukumo mkali kutoka Umoja wa Ulaya juu ya kurekebisha mfumo wake wa kifedha lakini Montebourg amehoji  kama kubana huko matumizi kunakoshinikizwa na umoja wa Ulaya kutakuwa na faida  yeyote kwa Ufaransa.

mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one

Matangazo Yetu

Alfajiri

Jioni

Je Nifanyeje?

Matangazo 'Live'
0300 UTC, 1630 UTC

Mitaani

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Maudhui ya wavuvi wa Bagamoyo-VOA Mitaanii
▶ || 0:00:00
... ⇱
 
🔇
X
20.09.2014 15:14
Wafanyabiashara wa samaki katika wilaya ya Bagamoyo, Tanzania waelezea changamoto zinazowakabili katika biashara kuu ya uvuvi, miongoni mwao ukosefu wa soko na mahala ya kuhifadhi samaki wanaovua.
Most Viewed
  1. Mmarekani-Msomali aenda Syria kujiunga na wenye msimamo mkali.
  2. Rais Obama aapa kupambana na wanamgambo wa IS
  3.  Rais Kikwete akabidhiwa zawadi na Watanzania wa Marekani
  4. Afrika Kusini yafanya uchunguzi wa fedha kutoka Nigeria.
  5. CHADEMA yasisitiza bunge la katiba si halali