Published 02.04.2014
Serikali ya Kenya imetangaza nia ya kuunda kinu cha nuklia kunaza kuzalisha umeme kuweza kukidhi mahitaji ya nishati nchini humo. Lakini wajkosowaji wapinga mradi huo wakidai unahatari kubwa zaidi.