wapalestina wakitoroka makazi yao wakihofia mashambulizi ya jeshi la israel huko Rafah kusini mwa ukanda wa Gaza.
Mara baada ya sitisho la mapigano kuanza , wajumbe wa Israel na Palestina watakwenda Cairo kwa mazungumzo juu ya kuongeza muda wa kusitisha vita hivyo.
Ugonjwa wa Ebola watikisa Afrika magharibi. Nchi kadhaa katika bara la afrika nazo zatoa tahadhari.
No records found for this widget:2491