Jumapili, Agosti 03, 2014 Local time: 17:44
Sauti
Multimedia
 Je Nifanyeje?
 Alfajiri
 Jioni

 Kanda
 Katika Picha
 YouTube

Habari / Afrika

Mbunge wa Somalia auwawa katika shambulizi.

Mtu mmoja akipekua mabaki katika shambulizi la sokoni huko Hamaerweyne wilaya ya kusini mwa Mogadishu January 26, 2012. REUTERS/Feisal Omar (SOMALIA - Tags: DISASTER ENVIRONMENT BUSINESS)

Mbunge mmoja wa Somalia ameuwawa katika shambulizi la bunduki linalodaiwa kufanywa na kundi la wanamgambo wa  Alshabab.

Mohamed Mahmud Hayd aliuwawa  alhamisi wakati mtu mwenye silaha alipofyatulia gari lake risasi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

Mbunge mwingine aliyekuwa naye kwenye gari Abdullahi Ahmed Conka aliiambia sauti ya Amerika kwamba washambuliaji hao waliendesha gari lao karibu yake na kufyatua risasi. Anasema mlinzi wa Hayd alijibu kwa  risasi lakini aliuwawa pia.

Afisa mmoja wa bunge kwenye gari hilo alijeruhiwa  wakati Conka alinusurika bila kuumia  .

Al-Shabab yenye mahusiano na Alqaeda ilidai haraka kuhusika na mauaji hayo. 

                                    

mjadala huu umefungwa
Maoni
     
There are no comments in this forum. Be first and add one

Matangazo Yetu

Alfajiri

Jioni

Je Nifanyeje?

Matangazo 'Live'
0300 UTC, 1630 UTC

Mitaani

No records found for this widget:2548

Your JavaScript is turned off or you have an old version of Adobe's Flash Player. Get the latest Flash player.
Most Viewed
  1. Meriam Yahya Ibrahim akutana na Papa Francis
  2. Vifo vyaongezeka katika mapigano huko Gaza
  3. Mwanajeshi wa Israel auwawa Gaza.
  4.  UKAWA wasusia kurudi bungeni Dodoma
  5. Israel yaongeza muda wa kusitisha mapigano kwa saa 24